Title: F.Valentines.Day (Fuck Valentine’s Day)
Type: Movie
Status: Released (Februari 6, 2026)
Genres: Dark Comedy | Romance | Indie
Country Of Origin: United States
Rate: 6.9/10 . . “Wakati ulimwengu wote unasherehekea maua na chokoleti, wao wamepanga kitu tofauti kabisa. π€π₯π₯
Filamu ya F.Valentines.Day (2026) inafuata kundi la watu watano ambao wote wamepitia maumivu makali ya mapenzi hivi karibuni. Badala ya kukaa nyumbani na kulia, wanaamua kukutana na kufanya “Anti-Valentine’s Party” yenye lengo la kuharibu mipango ya kimapenzi ya watu wengine mjini na kufanya vitendo vya uasi dhidi ya biashara za Valentine. Hata hivyo, usiku unavyozidi kwenda, hali inageuka kuwa ya vurugu za kuchekesha na matukio yasiyotarajiwa yanayowafanya kuanza kuelewa maana halisi ya upendo, urafiki, na jinsi ya kupona maumivu ya moyo. ππΈπ₯
Kama umechoshwa na movie za mapenzi zenye “Happy Ending” za kutabirika, hii hapa itakupa ladha tofauti. Ni movie kwa ajili ya wale ambao hawaioni Valentine kama siku ya furaha! Nani anataka kujiunga na party hii? ππ«β€οΈ
. . #FValentinesDay #AntiValentines #Movie2026 #DarkComedy #NewRelease #BrokenHeartsClub #MovieUpdates #MustWatch #CinemaTanzania #ValentineAlternative
